Bongo5 ExclusivesFahamuHabariLifestyle

Mwanafunzi Prosper Oluwafunmibi Babalola wa Nigeria, ana uwezo wa kuzungumza lugha 21

Moja ya video inayosambaa mitandaoni ni hii ikimuonyesha Mwanafunzi kutoka nchini Nigeria, Prosper Oluwafunmibi Babalola ambaye ameleeza kuwa anauwezo wa kuzungumza lugha 21.

Baadhi ya lugha alizoziorodhesha kuwa ana uwezo wa kuzizungumza ni pamoja na:-

1. Kiyoruba,
2. Kihausa,
3. Kizulu,
4. Twi,
5. Kijerumani,
6. Kihispania,
7. Kihindi,
8. Kiigbo,
9. Kikorea,
10. Kijapani,
11. Kirusi,
12. Kichina,
13. Kiindonesia,
14. Kiholanzi,
15. Kifaransa,
16. Kilatini,
17. Hangul,
18. Kiitaliano,
19. Kiingereza,
20. Egun,
21. Igede.

Kwa namna unavyojifahamu wewe una uwezo wa kuzungumza lugha nhapi 🤓🤔.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents