Kocha Nabi amekipongeza kikosi chake kwa kuipigania timu hiyo mbele ya Azam FC na kufanikiwa kupata sare ya goli 2-2 huku hakusita kuwataja baadhi ya nyota wake akiwemo Feisal Salum mfungaji wa magoli mawili, Azazi Ki na Bernard Morrison.
Full Video bofya HAPA