Habari

Mwanzilishi wa Amazon ampiku Bill Gate

Mwanzilishi wa Kampuni ya Amazon(AMZN), Jeff Bezos amempita kwa utajiri Bill Gates na kuwa tajiri namba moja duniani akiwa na utajiri wa Dola bilioni $92.3.

Baada ya kufunguliwa kwa soko siku ya jana, utajiri wa Bezos umepanda kwa asilimia 3 sawa na dola 92.3 bilioni ambapo Gate yeye ana utajiri wa dola 90.8 bilioni, wakati wa kufungwa kwa soko la hisa Jumatano hii.

Mmliki huyo wa Microsoft , Gates(61) aliongoza chati hiyo ya utajiri tangu mwaka 2013 mwezi Mei, wakati huo Bezos (53), alishika namba tano kwa utajiri.

Hii ndiyo orodha ya Matajiri kabla ya soko la Hisa

Na Laila Sued

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents