Burudani

Mwijaku amuomba msamaha Maua Sama (Video)

Mwijaku rasmi amemuomba radhi msanii wa Bongo Fleva Maua Sama baada ya kumuandikia barua kupitia wanasheria wake, Maua Sama alilalamika kudhalilishwa na Mwijaku na kumtaka amlipe Milioni 300 au aende Mahakamani.

Baada ya kuomba radhi ameeleza kuwa atamlipa Maua Sama kiasi hicho lakini amepelea Milion 50 na amemfuata Alikiba amuongezee.

Mwijaku akiongea na El Mando ameeleza kuwa yeye hawezi kuwa juu ya sheria na lazima aheshimu mamlaka.

 

Video nzima ya mahojiano hayo ipo kwenye link hapo chini:

 

 

 

 

 

 

Host: @El_Mando_tz

Edited by @Abbrah255

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents