Mwijaku aweka wazi kuwa kwenye penzi jipya na Hamisa, aliotembea nao wamefanikiwa kupitia yeye (+Video)

@mwijaku amefunguka kuhusu kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na mwanadada @hamisamobetto, Mbali na hilo @mwijaku ameongeza kuwa hakuna mtu atakuja kuwatenganisha yeye na @hamisamobetto kwani anajua kamtoa wapi “Wanaume wote aliotembea nao Hamisa wamepata mafanikio kwa sababu yake “

Ameongelea pia kuhusu gharama ambayo @officialalikiba alimlipa @hamisamobetto kwenye video ya #DODO na kusema kuwa alilipwa dola 12000 sawa na mil 25 za Kitanzania. “Hamisa ndio msanii pekee anatembelea gari zero kilometer kaagiza kiwandani gharama ya mil 85 wasanii wote wanatembelea magari yametumika “

Related Articles

Back to top button