MahojianoVideos

Mwijaku: Maua Sama na Zuchu Mungu kawanyima shepu na sura kawajalia Koromeo (+ Video)

Mtangazaji wa CloudsFm @mwijaku ameamua kuyatoa ya moyoni juu ya @mauasama na kudai kwamba hajui kupika wala hana mwili wa nguo.
“Mungu hawezi kukujalia vyote, mimi mwili wangu wa suti”
Akiongelea suala la kupewa gari na mke wake amedai kuwa watu wa Kigoma wanajua sana mapenzi huku akirusha dongo kwa @diamondplatnumz akidai amebadili kabila na kujiita familia ya Nyange.
Link ya Interview ipo chini hapa.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents