Mwijaku: Tanasha na Diamond wamenisamehe, mke wangu anajua hakuna mwanaume wa pekee yake (+Video)

Msanii wa Bongo movie na Mtangazaji wa Cloudstv @mwijaku ameweka wazi kuwa tayari @tanashadonna amemsamehe na ameeleza kuwa hakumuelewa alichokuwa a amaanisha.

Mbali na hilo @mwijaku ameeleza kuwa huwa ana msaliti mke wake kwa sababu mke wake anajua kuwa hakuna mwanaume wa pekee yako.

Alipoulizwa vipi kuhusu mke je ni wa pekee yako au laah alisema kuwa mke hachangiwi ila wanaume hawaridhiki na mwanamke mmoja. Pia ameweka wazi kuwa mwaka huu atagombea Ubunge katika jimbo la Kazulumimba mkoani KIGOMA au KAWA jijini DAR ES SALAAM.

Related Articles

Back to top button