Michezo

Nahodha wa Mamelodi kuikosa Yanga

Nahodha na kiungo wa Mshambuliaji wa Mamelodi Sundowns Themba Zwane ataukosa mchezo wa kwanza wa robo fainali ya CAF Champions League dhidi ya Yanga SC, kwa sababu ana kadi tatu (3) za njano.

Kwa mujibu wa kanuni za mashindano ya CAF Champions League kadi za njano tatu (3) zinahesabika hata kama mchezaji amepata kadi hizo kwenye michezo isiyofuatana na Themba Zwane amepata kadi hizo kwenye michezo isiyofuatana.

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Imeandikwa na Mbanga B.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents