HabariMichezo

Naibu Waziri Hamad Chande ahimiza Bodi ya Michezo ya Kubahatisha kupunguza utitiri wa Kodo

Naibu Waziri wa Fedha Mhe. Hamad H. Chande amehimiza Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania (GBT) kutafuta namna ya kupunguza utitiri wa kodi na tozo zinazopunguza kasi ya uwekezaji katika sekta ya michezo ya kubahtisha.

Chande ameyasema hayo wakati wa mkutano wa wadau wa michezo ya kubahatisha kuadhimisha miaka 20 ya GBT uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa JNICC.

Wadau mbalimbali walioshiriki mkutano huu wameipongeza Bodi na Serikali ya Awamu ya Sita ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt, Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kuweka mazingira rafiki kwa wawekezaji hali ambayo imeendelea kukuza pato la taifa na ajira kwa vijana.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents