Habari

Nape Nnauye: What a loss!! mwamba mwenye sifa halisi za kusini, pumzika baba

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Magufuli ametangaza kifo cha Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Tanzania Benjamin William Mkapa.

Baada ya taarifa hizo za msiba wa rais mstaafu Benjamin Mkapa, Nape Nnauye ameadika ujumbe huu kupitia ukurasa wake wa Twitter:

What a loss!!! ! Nakumbuka sana Upendo, Malezi na Busara zako nikiwa Mkuu wa Wilaya Masasi!Aaah, mwamba mwenye sifa halisi za kusini, what a loss!! Pumzika baba!

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents