Habari

Ndugu na mtoto wa marehemu Kingunge, KINJE azungumza kwa mara ya kwanza (+video)

Usiku wa leo Ijumaa tarehe 02 Februari 2018, Taifa la Tanzania limepoteza mtu muhimu katika siasa ambapo Mwanasiasa mkongwe Mzee Kingunge Ngombale Mwiru ameaga dunia katika Hospitali ya taifa ya Muhimbili alikokuwa akipatiwa matibabu.

Kinje akiwa na Mzee Wasira wakiomboleza

Kufuatia msiba huo mtoto wake wa kwanza wa mzee Kingunge na ndugu zake wameongea juu ya msiba huo na kuweka wazi mipango ya mazishi ya marehemu.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents