Burudani
New Music: Beyoncé – ‘Rise Up’
Pamoja na kutumika kwa sauti yake kwenye filamu ya katuni ya Epic akiwa kama Queen Tara, Beyonce pia alirekodi na kuimba wimbo “Rise Up.” Wimbo huu umeandikwa na Sia na kutengenezwa na Hit-Boy.
[soundcloud url=”http://api.soundcloud.com/tracks/95604678″ params=”” width=” 100%” height=”166″ iframe=”true” /]