Burudani
New Music: Dj Maphorisa f/ Vanessa Mdee x Yanga – Bae Lemme Hold Ya
Dj Maphorisa ameachia EP yake Dj aliyoipa jina ‘#DroppingMyAlbumOnMyBirthday15Nov16.’ Ndani yake amewashirikisha wasanii kama Vanessa Mdee, Ycee, Patoranking, Emtee na wengine. Vee ameshirikishwa kwenye wimbo uitwao ‘Bae Lemme Hold Ya’ akiwa na Yanga. Ni bonge la ngoma. Usikilize hapo chini.