Huu ni wimbo mpya ulioimbwa na wasanii wasiopungua 35 wa mkoa wa Kilimanjaro Kilichoimbwa ni ukarimu wa wakazi wa Kilimanjaro, lugha ya wenyeji, vivutio, upendo wao watu wa Moshi na vitega uchumi wimbo unaitwa “Kilimanjaro” umeandikwa na Michael Lukindo. Producer King Cyrus At Peak Studio
Join our mailing list to get the latest news!
Related Articles
Check Also
Close
-
New Video: Jamwe He Ft Chege -NadoJanuary 17, 2018 - 12:44 am
-
Video: Ivrah – TusheherekeeDecember 25, 2017 - 5:01 pm