Burudani
New Music: Wizkid f/ Drake & Skepta – Ojuelegba (Remix)
Wizkid amewashirikisha Drake na Skepta kwenye remix ya wimbo wake Ojuelegba. Skepta rapper wa UK mwenye asili ya Nigeria ndiye aliyemsikilizisha Drake wimbo huu na rapper huyo wa Young Money kuupenda kiasi cha kuubariki kwa kuingiza sauti. Usikilize hapo chini.