Burudani

Natamani mngeelewa jinsi ninavyompenda Zari – Diamond

Diamond Platnumz anatamani watu waelewe jinsi anavyompenda mpenzi wake Zari Tlale aka The Bosslady.

11745689_10207500677180034_7688809183649670592_n

Wawili hao wanatarajia kupata mtoto wao wa kwanza mwezi ujao.

Hitmaker huyo wa ‘Nana’ amepost picha kwenye Instagram inayomuonesha akilibusu tumbo la mpenzi wake huyo na kuandika, “I wish you can understand how Much i Love this Woman… Thanks God for the life have always prayed for.

11382925_1598911440358636_193720646_n
Diamond na Zari wanatarajia kupata mtoto wao wa kwanza mwezi ujao

Msanii huyo amemaanisha, “Natamani mngeelewa jinsi ninavyompenda huyu mwanamke. Asante Mungu kwa maisha niliyokuwa nikiyaomba siku zote.”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents