New Video: Oscar nyerere & Dr mfyuzi ft Ally Nipishe – Amani

Video mpya kwa ajili ya kusisitiza mambo ya “Amani” kwa nchi ya Tanzania na Africa kwa ujumla,Vijana wawili shaphii omary(drmfyuzi) na Oscar Nyerere wakimshirikisha Ally Nipishe wameona ni vyema watumie vipaji vya uigizaji wa sauti za hayati Baba wa Taifa na Raisi kikwete ili kutunza na kudumisha amani ya nchi yao Tanzania na Africa kwa ujumla.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button