Videos
New Video: Wiz D ft Alpha -Fly Girl
Wiz D ni msanii wa muziki toka kisiwani Zanzibar, ameachua kazi yake ya kwanza iitwayo ‘Fly Girl ‘aliyomshirikisha Alpha. Video ya ngoma hiyo imefanywa na 5D production maeneo ya mji wa kisasa Fumba.