Burudani

Video: Ni kweli nimezinguana na mama watoto wangu – Aslay

Msanii wa muziki, Aslay amefunguka kwa kuweka wazi kwamba ni kweli ameachana na mama watoto wake ndio maana kwa sasa mara nyingi haonekani naye. Muimbaji huyo amesema kwa sasa na mama watoto wake huyo wako pamoja kwaajili ya kulea mtoto wao.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents