Burudani

Ni marufuku wa Dogo Janja kufanya haya kwa wazazi wake

Dogo Janja hawezi kutoboa masikio au kujichora tattoo kama wasanii wengi wanavyofanya – lasivyo hatoweza kukanyaga kwao!

12142008_865685193539539_112656672_n

Rapper huyo wa Arusha amesema akithubutu kufanya hivyo atakuwa ameikosea sana familia yake.

“Baba yangu na mama yangu wakati naingia kwenye muziki waliniambia fanya muziki lakini usije ukatoboa masikio, usije ukachora tattoo,” alikiambia kipindi cha Siz Kitaa cha Clouds TV.

“Nikichora tattoo au nikitoboa masikio ni vita nyumbani,” alisema.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents