Burudani

Nicki Minaj amdiss Donald Trump kwenye wimbo wake mpya ‘Black Barbie’

Ushindi wa Donald Trump kuwa Rais mteule wa Marekani umeonekana kuwakera mastaa wakubwa wa nchi hiyo kutokana na sera zake – Nicki Minaj amemdiss kwenye wimbo wake mpya ‘Black Barbie’.

nicki

Rapper huyo ameonekana kuchukizwa zaidi na sera ya Trump ambayo inaelekeza kuwaondoa watu wote wanaoishi bila kibali maalum kwenye nchi hiyo ikikadiriwa zaidi ya watu milioni tatu watakumbwa na fagio hilo.

“I see these silly nigga’s flexin,” amerap Nicki. “It’s a no zone you gonna be foatin in dem rivers like you know Joan Island girl, Donald Trump want me to go home. Still pull up with my wrist looking like a snow cone.”

Sikiliza hapa chinmi wimbo huo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents