Habari

#NyerereDay: Wasemavyo mastaa mbalimbali wa Tanzania

Tarehe 14 October 1999, rais wa kwanza wa Tanzania na baba wa taifa, Julius Kambarage Nyerere alifariki kwa ugonjwa wa leukaemia akiwa na miaka 77. Leo ni siku ya mapumziko kumuenzi shujaa huyo wa uhuru. Huu ni jumbe wa baadhi ya mastaa wa Tanzania.

NYERERE_01-1

Diamond
Kwakuwa tulipoanzia na tulipo leo si haba, basi InshaAllah tutafika tu… Happy Nyerere Day my dear Fellows!

Nisher
Rest in Peace To the King

Mheshimiwa Temba
October 14 kila mwaka ni siku ya kumbukumbu ya baba wa taifa.nisipo fanya hv ntakuwa nimedhulum na nafsi yng. Uhuru bila nafsi kukubali c uhuru alisema comredy j kambarage. R I p

Shilole
R.I.P Baba wa taifa tutakukukumbuka daima!

William Mtitu
WE MISS U BABA , Ama kwa hakika Taifa hili lilikuwa bado linakuitaji sana Leo ikiwa ndio kumbukumbu muhimu ya kifo chako lakini UMUHIMU WAKO bado unaoneka katika kipindi hiki nchi ikiwa katika changamoto nyingi sana Da! Repost from @kikwete Artwork by mukinkamki

Kala Jeremiah

jUZI ALINITOKEA NDOTONI ALINIULIZA KAMA JE MAKTABA ZIMEJAA? AKANIULIZA JE WANAFUNZI WOOTE WANASOMA WAMEKAA?? nilichomjibu mimi: NACHOJUA MTWARA KUNA GESI ILA WANAPIKA KWA MKAA KWA NDEGE TWIGA ANAPAA, NYUMA YA MGODI KUNA NJAA hebu na wewe tuambie angekutokea ungemwambia nini?

Riyama
R.I.p baba wa taifa Tutakukumbuka siku zote za uhai wetu chini ya jua Mungu akuweke unapostahili amin

Cpwaa
Nawatakia mapumziko mema siku hii special kabisa ya “Nyerere day” watanzania wenzangu. What if Nyerere was still alive today? Kungekuwa na tofauti? anyways ‪#‎KataKiu‬ ‪#‎MaishaMafupi‬

J4C
R.I.P LegeNdary… And Thank U 4 the Holiday … %Tanzania Yenye Amani na Upendo Ndo nayoiota Hata Ndotoni… Naipenda Nchi Yangu Na Watu wake… Siasa si msingi wa kweli wa Ukombozi wa Kiuchumi wa Taifa ili… Inauma na kutia Simanzii kwa kuwa nguvu Kazi ya Taifa hili (yaani Vijana) kuamini Ukombozi wa Kiuchumi utaletwa na Wanasiasa… Ndugu Zangu Siasa ni Ajira Kama Ajira Nyingine Yoyote.. TAMBUA KUWA KILA UNAPOMSIKIA mwanasiasa.. Unamsikikiza mtu anayelinda Ajira yake kwa Manufaa yake .. Familia na ndugu zake… Niamini swala la Jamii yake hapa halizingatiwi.. Naipenda Siasa Safi Ya Mwalimu na sitakaa niamini Siasa ya Vijana wa leo Wenye Maneno Mazuri kwa Umma ya Watanzania lakini wasio yasadiki hata kwa asilimia Moja.. Maandamano ya Kweli Tanzania hii yatakua yale Ya kudai Haki ya “kwann mafuta yanapanda bei.. Kwann sukari inapanda bei… Kwann kodi inamkandamiza mnyonge ambaye ni mfanyakazi”… Niamini maandamano ya Kudai mambo ya Kiutawala… Ni maandamano ya wanasiasa wanaojitahidi kulinda na wengine kujenga njia rahisi ya Kukaa pale Juuu kula Nchi Na Neema Zake… NAIPENDA TANZANIA.. TENA naipenda Sana ila Nawachukia Wanasiasa wote wanaochukua udhaifu wa ulewa Wa Mambo kutufarakanisha na kututoa Sadaka kwa Ajili ya mtaji wao wa Siasa… KIJANA mwenzangu Amka na Tambua… “Ukombozi wa Kweli wa Kiuchumi hautaletwa na Upande Mmoja Ambao ni Serikali… Ww ndio Upande Chanya wa pili unaohitajika kuiwezesha Serikali yako kufanikisha Hili…. ” Stay Positive…. AND pray this Hard 4 Our Peace.. MIMI NIKIJANA NINA NGUVU NA MBIO.. NAWAZA KUHUSU MAMA ZETU NA SHANGAZI ZETU… WATOTO WETU WAZURI WATAWEZA MBIO NA MAMBO YANAYOINGILIANA NA UKOSEVU WA AMANI…. #NyererePumzikaKwaAmani.. IDUMU AMANI YETU… AMINA

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents