Burudani

Tamthilia ya The Walking Dead yavunja rekodi ya runinga nchini Marekani

Msimu wa tano wa tamthilia ya Marekani ya The Walking Dead imeangaliwa na watu milioni 17.3 na kuvunja rekodi ya TV za cable nchini humo.

_78206130_dfed63d8-aef3-5e47-bdc7-34b39b099b3e_twd_411_gp_0927_0147

Kwa mujibu wa kampuni ya Nieslen, hiyo ni idadi kubwa kuwahi kufikiwa na kipindi kisicho cha michezo nchini Marekani.

Uzinduzi wa msimu uliopita wa tamthilia hiyo ambayo muigizaji mkuu ni Andrew Lincoln, ilikuwa na rekodi ya kuangaliwa na watu milioni 16.1 mwaka jana.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents