Burudani

One the Incredible kuzindua album yake mpya, R.A.P

Rapper One the Incredible anatarajia kufanya uzinduzi wa album yake mpya iitwayo R.A.P utakaofanyika viwanja vya posta, December 5.

One Incredible

One ameiambia Bongo5 kuwa uzinduzi huo, utafunguliwa na kilinge ambacho kitaaza saa kumi jioni kabla ya kuanza kwa shughuli hiyo ya uzinduzi. Katika uzindizi huo kiingilio kitakuwa ni shilingi 10,000 bila album na 15,000 kwa backstage access.

Related Articles

Leave a Reply

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents