Bongo Movie

Wastara: Sioni faida ya filamu, labda kwakuwa siutoi mwili wangu

Msanii wa filamu, Wastara Sajuki amesema tangu afariki mume wake Sajuki, haoni faida ya filamu anazofanya.

Wastara

Akizungumza na gazeti la Mwanaspoti hivi karibuni Wastara alisema mtu anayejiheshimu na kukwepa ngono hutengwa na kuwekewa vikwazo ili afuate masharti ya wahusika.

“Najikuta nikiwa katika wakati mgumu sana, kwani nilipokuwa na Sajuki nilifanya kazi kwa asilimia 20 tu na faida niliiona, lakini sasa nafanya kazi kubwa lakini nabanwa katika mauzo, labda kwa sababu siutoi mwili wangu, najipenda na kujiheshimu na nawapenda watoto wangu,” alisema Wastara.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents