Bongo MovieBurudaniHabari

Kanumba Festival yazinduliwa, Filamu zake 45 kuonyeshwa ndani ya DStv

Kampuni ya Multchoice Tanzania imetangaza Tamasha maalumu ya aliyekuwa mUigizaji (Actor) Muongozaji (Director) na Mtayarishaji (Producer) marehemu Staven Kanumba ambalo linajulikana kama Kanumba Festival.

Tamasha hilo litakuwa maalumu kwa ajili ya kuonyesha Filamu 45 za marehemu Steven Kanumba kupitia chaneli ya African Magical Bongo chaneli namba 160.

Tamasha hilo litakuwa kwa ajili ya kuonyesha filamu zake kuanzia tarehe 8 mwezi huu mpaka tarehe 30 mwezi huu.

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents