BurudaniHabari

Oscar Oscar aiaga rasmi Efm baada ya kujiunga na Wasafi media

Kupitia Instagram yake ameandika kuwa:

“Nilienda EFM nikiwa kijana mdogo sana Kitaaluma, lakini nimeondoka kama mtu mzima. Malezi na Miongozo yenu kwa kiasi kikubwa imechangia mimi kuwa hapa nilipo leo, I will always be grateful 🙏🏻.

Tumetoka mbali sana. Tumepitia mambo mengi sana. EFM/TVE mtabaki kuwa Wazazi wangu kitaaluma kama ilivyo KALIUA. Sometimes, mtoto ili awe fully independent, analazimika kutoka kwa Wazazi wake. Analazimika kutoka kwenye his/her Comfort Zone.

Kipekee kabisa, nikushukuru my Boss Majjizo kwa kunipa nafasi na kuniamini kwa kipindi chote cha miaka NANE. Mungu akubariki sana. Asante sana My Boss and brother Ssebo, wewe nikiandika sitomaliza leo wala kesho. Asante sana Boss wangu Ndawula na Boss Dizzo na wengine wote. EFM/TVE kwangu haikuwa Kituo tu cha kazi, ni NYUMBANI.

Dina Marious, I love you. Mpoki, I will miss working with you. Roman, you are a Genius. Vero, sky is the limit. Eddo Mobby, thank you. Everist ❤️.

Zaidi, niwatakie kila la heri na baraka tele. Haikuwa rahisi hata kidogo kufanya maamuzi haya lakini maisha lazima yaendelee.

SHUKRANI 🙏🏻”

Written by @el_mando_tz

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents