Habari
Panya wanaopima ugonjwa wa kifua kikuu kwa sekunde 3 (Video)
Taasisi ya Apopo ya Tanzania ambayo ilikuwa inawafundisha Panya kutegua mabomu, safari hii wamekuja na panya ambao wana uwezo wa kupima ugonjwa wa kifua kikuu TB kwa sekunde 3 ambapo ndani ya dakika 20 wanaweza kuwapima TB wagonjwa 150.