Burudani

Koffi Olomide amtuma meneja wake kwa Mama Kanumba, watoa msaada na kufanya dua kwenye kaburi la Kanumba (Video)

Meneja wa Koffi Olomide Richard Bongania Jumanne hii amemtembelea nyumbani kwake Mama Kanumba na kumpatia misaada pamoja na kutembelea kaburi la marehemu Kanumba kwaajili ya kuweka maua na kufanya dua. Meneja huyo amesema Koffi alitamani sana kumuona mama Kanumba lakini alibanwa na ratiba ya Kenya. Richard amesema watampeleka Mama Kanumba Congo ili akaonane na maelfu ya mashabiki wa Marehemu Kanumba ambao wamekuwa wakimuulizia kila siku.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents