Bongo5 ExclusivesBurudaniMahojiano

Paula ameolewa na Rubani Mnigeria anayeishi Dubai – Lokole

Baada ya ukaribu kuongezeka kati ya Dada yake na @diamondplatnumz @_esmaplatnumz na @_esmaplatnumz @el_mando_tz amemuuliza @jumalokole20 kitu gani kinaendelea kati ya hao wawili.

@jumalokole20 amemjibu @el_mando_tz kuwa wale hawajawahi kugombana na haiwezi kutokea @_esmaplatnumz na @harmonize_tz wakawa kwenye mahusiano ya kimapenzi na kama ikitokea yeye atakata undugu na @_esmaplatnumz

@jumalokole20 anasema kuwa kama ikitokea @_esmaplatnumz amekuwa na mahusiano na @officialalikiba yeye atafurahi sana.

Mbali na hilo Juma Lokole ameweka wazi kuwa binti wa producer P Funk Majan na Kajala Paula ameolewa na Rubai Mnigeria anayeishi Dubai.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents