Burudani

Picha: Beyonce na Jay Z wanacheka kama hakuna kilichotokea, Solange aungana na dada yake kwenye harusi ya Kelly Rowland

Kwa ile video iliyovuja inayoonekana mdogo wake Beyonce, Solange akimshambulia kwa ngumi na mateke shemeji yake, Jay Z, wengi walitegemea kuwa wazazi hao wa Blue Ivy wangekuwa wamenuniana kwa sasa.

article-2626820-1DCA685800000578-982_634x502

Lakini pamoja na kuwa bado ukweli wa chanzo cha timbwili hilo haujajulikana, The Carters wameendelea kuonekana kwenye matukio mbalimbali ya hadhara wakiwa na furaha, wakicheka na wakionesha upendo kama hakuna kikubwa kilichotokea. Wawili hao waliamua kwenda kushuhudia mechi ya mpira wa kikapu kati ya Brooklyn Nets na Miami Heat kwenye uwanja wa Barclays Center jijini New York, Jumatatu hii.

article-2626820-1DCA684000000578-96_634x656

Pengine watu wanachotakiwa kufahamu ni kuwa The Carters ni binadamu kama wengine kwamba hukugombana na hupatana kama walivyo wapenzi ama wanandoa wengine. Katika hatua nyingine mtandao wa UsWeekly, umedai kuwa Beyonce na Solange walisafiri Ijumaa iliyopita hadi Costa Rica kwenda kuhudhuria harusi ya Kelly Rowland na Tim Witherspoon.

Tazama picha zaidi.

article-2626820-1DCA190600000578-531_634x563

article-2626820-1DCA684C00000578-722_634x504

article-2626820-1DCA303F00000578-996_634x689

article-2626820-1DCA191B00000578-51_634x594

article-2626820-1DCA68A000000578-749_634x506

article-2626820-1DCA25E800000578-76_634x519

article-2626820-1DCA18F700000578-876_634x708

article-0-1DC9BE1100000578-178_634x751

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents