BurudaniVideos

Video: iPhone 6 kuingia sokoni hivi karibuni!

Wapenzi wa simu za ‘kishua’ za iPhone mpo? Huenda toleo jipya la simu hizi likaingia mtaani soon. Kumekuwepo na tetesi kwenye mitandao kuhusu simu hiyo lakini kikubwa zaidi watu wengi wanachokitazamia ni ukubwa wa screen kulinganisha na simu za hapo awali. Inaweza kuingia sokoni mwezi ujao.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents