Burudani

Exclusive: Vanessa, Gosby, Jokate, Rama D na Cindy Rulz waiongelea video inayomuonesha Solange akimpiga Jay Z

Jay Z alishambuliwa vikali na mdogo wake na mke wake Beyonce, Solange wakati watatu hao walipokuwa wakiondoka kwenye after party ya Met Gala Jumatatu iliyopita jijini New York. Solange mwenye miaka 27, alionekana kwenye camera za kwenye lifti akimrushia ngumi na mateke shemeji yake huyo mwenye miaka 44 huku Beyonce akiwa amesimama akiwaangalia bila kufanya chochote. Video hiyo iliwekwa kwenye mtandaoni na TMZ.

Bongo5 imezungumza na wasanii wa Tanzania wakiwemo Vanessa Mdee, Gosby, Jokate Mwegelo, Rama Dee na Cindy Rulz kupata maoni yao kuhusiana na tukio hilo na kwanini dunia imeonekana kufurahia.

Cindy rulz

Kwasababu wale wanaoekana wako “too perfect” kwakuwa imezoeleka sisi watu weusi kidesign tuko ratchet! Sasa the carters ni watu ambao wanafanya vitu chini kwa chini sana na mpaka wengine wakihisi wale hawanaga matatizo kwenye house hold yao! Na bila ile
video kuvuja tusingejua chochote kilichotokea sababu walitoka kwenye lifti kama hamna chochote kilichotokea! So baada ya hiyo video ndo watu sasa wameanza kwa kusema kumbe the Carters nao wamo, kwamba they are just like everyone else.

article-2626389-1D9D194200000578-944_634x806
Kibao kinauma? Jay Z na Beyonce wakitoka kwenye lift baada ya ugomvi wa Solange na shemeji yake

Vanessa Mdee

Because the Carter’s are finally coming off as human beings. I think it’s a reflection of everyone’s own issues and a reminder that we are all human. Sidhani Kama watu wana furahia per se bali they’ve been so private and picture perfect for ages that this one time the cracks are showing and it’s okay, Beyonce is still the baddest, Jay is still the dopest and The Carter’s together still have their net worth. Worse things have happened. Trust the Carter’s to monetize off of this – throw in Solange as a back up singer (
no offense I love Solo ) or use the clip in an exclusive ‘promo’ video. Trust me, they will use it to their advantage. It will affect the tour to their advantage.

article-2626389-1D9DEB2E00000578-329_634x535
Jay Z na Beyonce wakitenganishwa magari ya kuondokea

Rama Dee

Siku zote ukiwa Na mafanikio watu wanafurahi ukipata shida…so Jay Z ni mtu mwenye akili sana….ile ni issue ya kifamilia halafu walijaribu kuitengeneza kwa muda mfupi ila walishachelewa.Kama ingekuwa bongo tusingeelewa kitu mana jamaa wanajua kulinda ofisi zao!

Unajua wamarekani wanatabia kidogo kama za kibongo…yaani kwenye familia mtu akitoka wanataka na familia kutokea hapo..I think Jay Z anajaribu kumpa misingi mke wake kuwa super woman sasa kwa familia zetu hizi za watu weusi nafikiri unazifahamu Ila Jay Z ni mtu ambaye anaweza kucheza na akili ya mtu inaonekana ni tatizo la muda ndani ya familia. Pale kisheria Jay Z anatakiwa kulipwa pia naona kama amezidi kuonekana mwanamuziki mwenye kufahamu(kioo cha jamii) ile kitu kama inatokea pale maisha au hotel za bongo halafu Jay Z awe (jina kapuni) mbona vioo vyote vitavunjika!!!!

Gosby

Nadhani kila mtu ameshangaa kilichotokea, sikuwahikufikiria kuna siku ntamuona Jay kwenye situation kama ile but they played smart, if it wasn’t for that video or TMZ tusingejua chochote. Jamaa wanaweka mambo yao private sana.

Jokate

Watu wanaonekana kufurahia sababu wako too private hata ikitokea scandal there is normally no proof. They are good at maintaining good/positive image. Sidhani kama hii itaharibu show yao sababu Beyomce is strong always has her game face on.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents