Michezo

Cristiano Ronaldo aonesha mapenzi kwa shabiki aliyevamia uwanjani na kumkumbatia

Mchezaji wa klabu ya Real Madrid, Cristiano Ronaldo akiwa kwenye mechi ya ligi ya mabingwa wa Ulaya dhidi ya PSG iliyochezwa jijini Paris, Ufaransa ameonesha mapenzi ya juu kwa shabiki aliyevamia uwanjani.

2DA4B82500000578-3283497-image-a-104_1445461486669

Shabiki huyo alivamia uwanjani wakati Madrid ikipambana na PSG na alipomfikia Ronaldo, alimpokea na kumkumbatia.

2DA4CCAC00000578-3283497-image-a-106_1445461559391

Hata wakati walinzi wa uwanjani wanaingia ili kumtoa, Ronaldo aliwazuia wasimpe kipigo. Badala yake Ronaldo alipiga naye story sekunde kadhaa na kuwaruhusu wamchukue lakini si kwa kumpiga.

2DA4B8DF00000578-3283497-image-a-109_1445461758784

Baada ya kitendo hicho mashabiki walimshangilia kwa kile alichoonyesha kwa shabiki huyo aliyeonesha mapenzi makubwa kwake.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents