Burudani

Yamoto Band waandika wimbo mpya wa Dully Sykes

Yamoto Band wameandika wimbo mpya wa Dully Sykes uitwao Tuachie.

Dully

Dully Sykes amedai kuwa ameona ni muhimu kupata ladha tofauti na haoni kama kuna tatizo kuandikiwa na wasanii hao. “Nimewaachia vijana waandike ili nipate kitu tofauti,” Dully alikiambia kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Radio.

“Ni vijana ambao wanafanya vizuri kimuziki, kama watoto wanafanya vizuri na wana kazi nzuri kwanini usifanye nao kazi? Nimeshafanya na wasanii wengi sana, kwahiyo nimeamua kuwashirikisha kwa sababu wanafanya vizuri,” aliongeza.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents