Burudani

Rapper K.O aongoza kwenye orodha ya ‘MTV Base Hottest MCs 2014’

Rapper K.O aliyeshirikishwa kwenye wimbo wa Vanessa Mdee ‘No Body But Me’ ametajwa kuwa ndiye MC mkali zaidi Afrika Kusini kwa mwaka 2014, kwa mujibu wa orodha ya ‘MTV Base SA’s Hottest MCs 2014’

hottest mcs

Cassper Nyovest ndiye ameshika nafasi ya pili akifuatiwa na mpinzani wake AKA aliyeko kwenye nafasi ya tatu.

Vigezo vilivyotumiwa na majaji kupanga orodha hiyo ni:
“Lyrics, sales, style, impact, buzz and other intangibles that set one artist apart from the next.”

Panel ya majaji iliongozwa na Vj wa MTV Base Sizwe Dhlomo, wadau mbalimbali kutoka vituo vya radio na televisheni, pamoja na wasanii.

MTV Base presents The Hottest MCs of 2014:

1. K.O
2. Cassper Nyovest
3. AKA
4. Khuli Chana
5. Riky Rick
6. Reason
7. Kid X
8. Da Les
9. Kwesta
10. Maggz

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents