Burudani

Picha: Diamond akiwa na team ya WCB waingia mtaani kuuza tiketi za show ya ‘Vodacom Wasafi Beach Party’

Mkurugenzi wa WCB Diamond Platnumz pamoja na team yake nzima Ijumaa hii waliingia mtaani kwaajili ya kuzaa tiketi za show yake ya Vodacom Wasafi Beach Party itayofanyika Jumamosi hii Jangwani Seabreez Mbezi jijini Dar es salaam.

Diamond akiwa na mteja wake baada ya kumuuzia tiketi

Muimbaji huyo alitua maeneo ya Mlimani City majira ya saa 7 na nusu mchana na kupokelewa na kipindi cha XXL cha Clouds FM ambacho kilikuwa kinarusha tukio hilo live.

Mashabiki pamoja na wadau mbalimbali ambao walijitokeza kwa wingi katika eneo hilo licha ya kuuziwa tikeki na Diamond pia walipata fursa ya kumuuliza maswali mbalimbali kuhusu muziki wake pamoja na WBC.

Katika kipengele cha press play cha XXL ya Clouds FM ambacho kinasimamiwa na DJ D Ommy, mashabiki waliruhusiwa kuchagua ngoma za wasanii wa WCB. Angalia picha.


Diamond akiwa na shabiki yake

Harmonize akizungumza ndani ya kipindi cha XXL

Rayvanny akiamsha popo mbele ya mashabiki waliojitokeza kununua tiketi

DJ D Ommy wa Clouds FM akisababisha midundo fulani

Diamond akizungumza jambo kupitia kipindi cha XXL

Perfect na Kennedy wakiwa mzigoni ndani ya XXL

Nini tena Rich Mavoko

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents