Burudani

Picha: John Legend afurahia kuwa baba

Maisha huwa ni mazuri pindi unapokipata kitu unachokitaka.

Chrissy-Teigen-John-Legend

Kwa sasa maisha ya John Legend na mkewe, Chrissy Teigen yanaonekana kuwa na furaha zaidi tangu walipofanikiwa kupata mtoto wa kike, Luna Simone mwezi uliopita. Wawili hao wameonekana kwenye mitaa ya New York City wakizunguka huku John Legend akiwa amembeba Luna.

Tazama picha zaidi.

222 (2)

3190402

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents