Hiyo jana katika mazishi ya bilionea, Maleu Mrema ambayo yalifanyika katika hoteli yake ya Ngurudoto jijini Arusha walikutana viongozi mbali akiwemo Rais Mstaafu Jakaya Kikwete, Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa na Waziri Mstaafu wa mambo ya nje Benard Membe.
By Peter Akaro