Burudani

Hamisa Mobetto ajifungua mtoto wa kiume

Mwanamitindo Hamisa Mobetto amejifungua mtoto wa kiume wiki hii, mtoto huyo anatambulika kwa jina Baby Dee.

Huyo ni mtoto wa pili wa mrembo huyo ambapo mtoto wa kwanza alizaa na Mkurugenzi wa EFM, Majay.

Mrembo huyo, amethibitisha kujifungua “Ahsante MUNGU??❤️ Welcome to the world Champ @tanzanian_baby I love U ??

Kwa upande wa mama yake Mobetto alipost picha ya mjukuu wake huyo na kuandika “Alhamdulilah mume wangu mie peke yangu,”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents