Bizzare

Picha: Lipia usafiri, malazi na chakula, mrembo huyu wa China atakuwa wako kwa muda!

Msichana mwenye miaka 19 kutoka China amemake headline kwa kutoa uroda kwa wanaume tofauti katika kila jiji analotembea. Anachotaka ni mwanaume huyo kumlipia tu usafiri na malazi.

Bed and Bawd

Msichana huyo ambaye ni mwanafunzi, Ju Peng, kutoka Shanghai, amepost tangazo online kuwa anataka ‘wapenzi wa muda’ ambao wanatakiwa kuwa na sura nzuri, miaka chini ya 30, warefu zaidi ya 1.75 metres na of course, wawe na mshiko.

Bed and Bawd

‘Watalipia usafiri wangu hadi katika mji wao na gharama zingine nikiwa huko na wanatakiwa kuwa wakarimu. Baada ya hapo watakuwa nami kwa usiku mzima, ntawajali na nafasi ya kuuza sura na kampani ya msichana mrembo’

Bed and Bawd

Hata hivyo watu wengine wamesema mpango ni umalaya na wameomba tangazo lake litolewe mtandaoni.

Bed and Bawd

Bed and Bawd

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents