Burudani

Kitabu cha historia ya Beyonce kutoka mwakani

Kitabu cha historia Beyonce Knowles kitaingia sokoni mwakani, wachapishaji wake, Grand Central Books wametangaza.

beyonce-time-100-11

Kitabu hicho ambacho bado hakijulikani kinaitwaje, kimeandikwa na J. Randy Taraborrelli na kitaangazia maisha yake kuanzia utotoni, maisha na Destiny’s Child, kama mwanamuziki anayejitegemea na ndoa yake Jay Z.

Knowles hatoshiriki kwenye kitabu hicho lakini Taraborrelli atawahoji watu waliopo karibu na maisha yake binafsi na muziki. Mwandishi huyo ameshaandika vitabu vya mastaa kama Michael Jackson na Madonna.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents