Burudani

Cpwaa kufunga mwaka na ‘Kata Kitu Concert’

Mfalme wa Crunk, Ilunga Khalifa aka Cpwaa amedai kuwa mwishoni mwa mwaka huu amepanga kushirikiana na wasanii wa hapa nyumbani na kutoka nje ya Tanzania kwa ajili ya kuwapa mashabiki wake burudani ya kufungia mwaka 2014 na ‘Kata Kiu Concert’.

Cpwaa

Cpwaa ameiambia Bongo5 kuwa kwenye show hiyo kutakuwepo na red carpet na kwamba fedha itakayopatikana itatumika kununulia madawati na kupeleka katika shule zenye upungufu wa madawati.

Cpwaa amesema kuna wasanii wa nje ambao wameshafanya nao kazi na kuna ngoma amefanya pia na wasanii wa hapa hapa. Kazi mpya za Cpwaa za sasa ni Chereko Chereko na Kata Kiu.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents