Burudani

Picha: Mrembo huyu maarufu atakuwepo kwenye show ya Road2MAMA, Bilicanas, Ijumaa hii

Umezoea kumuona akitangaza vipindi mbalimbali kupitia kituo cha MTV Base, na sasa huenda ukawa mwenye bahati ya kumuona Nomuzi Mabena akifanya yake live bila chenga Ijumaa hii kwenye ukumbi wa Club Bilicanas pale kituo hicho kitakapoangusha party ya mwaka ya Road to MAMA.

10299630_487478071381962_1669279162_n
Nomuzi Mabena

Pamoja na kumuona mrembo huyo, show hiyo ya kupigia debe tuzo za MAMA zitakazofanyika mwezi ujao nchini Afrika Kusini, wasanii kama Professor wa Afrika Kusini, Radio na Weasel, Sauti Sol na Diamond watatumbuiza. Pia DJ Tira w Afrika Kusini atadondosha ngoma akishirikiana na madj wa nyumbani, Stevie B, Mafuvu na Zero.

Usikose.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents