Burudani

Rose Ndauka: Yes I do, this is the mood am in!!!

Kuna kila dalili kuwa watoto wa Kiswahili wakapata fursa ya kudandia pilau la harusi ya Rose Ndauka na Malick aka Chiwaman hivi karibuni.

10375957_594538843977931_828314097606963420_n
Rose Ndauka

Wakati ambapo tayari wapenzi hao wamejaaliwa mtoto, kinachowakuna sasa ni kuhalalisha kabisa mzigo na kuishi kama mke na mume waliofunda ndoa. Muigizaji huyo wa filamu ametumia mtandao wa Facebook kuelezea hamu yake ya kuvaa shela na kuapa mbele ya padre/mchungaji ‘Yes I do’.

“YES I DO———–mood am in,” ameandika mrembo huyo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents