Burudani

Picha: Mrisho Mpoto anunua ndinga mpya, Toyota Land Cruiser Prado

Mrisho anamiliki gari jipya, Toyota Land Cruiser Prado aliyoinunua leo.

Kago
Prado mpya ya Mpoto

Akiongea na Bongo5 akiwa mwenye furaha kubwa, Mpoto amesema licha ya kuwa na Prado nyingine ameamua kununua mpya ili imsaidie kwenye ziara zake mikoani.

“Ndo ninatoka sasa hivi hapa show room, masuala ya bei wewe ingia kwenye mtandao uangalie lakini hii ni mpya na nimenunua show room. Hii itanisaidia kwenye tour zangu za mikoani,” amesema.

Mpoto akiwa kwenye Prado yake
Mpoto akiwa kwenye Prado yake ya zamani

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents