Burudani
Picha: Ney Lee ashoot video ya ‘Nipe Muda’ nchini Zambia
Msanii aliyepatikana kutokana shindano la Serengeti Fiesta Supa Nyota 2012,Ney Lee kutoka mkoani Mbeya, yupo mbioni kuachia video mpya ya wimbo wake ‘Nipe Muda’ iliyofanyika nchini Zambia chini ya kampuni iitwayo F2K Production. Tazama picha.