Burudani

Picha: Ni collabo ama P-Square kumsainisha Awilo Longomba?

Tangu aachie wimbo mpya ‘Bundelele’, muimbaji mkongwe kutoka DRC, Awilo Longomba ameonekana kuwa karibu na wasanii wakubwa wa Nigeria.

10608023_327109634133943_2019414118_n

Lakini picha iliyowekwa na Peter Okoyo wa P-Square inaashiria neema zaidi kwa Longomba aliyepo nchini Nigeria kujitangaza zaidi. Peter ameweka picha akisherehekea jambo na Longomba na kuandika: Will let y’all knw what we are celebrating soon…. Just wait for it. Cos it’s a big one! #P-Classic.”

Naye Longomba kupitia ukurasa wa Facebook ameweka picha hiyo na kuandika: Something exciting is about to be unveiled stay tuned and follow my Instagram and Twitter @awilolongomba.”

Wanasherehekea nini? Collabo ama kuna uwezekano P-Square wakamsaini msanii huyo anayependwa? Uwezo wanao.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents