Habari

Picha: Prezzo apakumbuka kwao Mwanza, atoa misaada kwenye kituo cha watoto yatima

Rapcellency, Prezzo hajapasau kwao Mwanza aka Rock City. Pamoja na kuwa mfalme wa bling Afrika Mashariki na kufahamika kwa kuishi maisha ya kifahari, ndani ya moyo wake kuna seheku kubwa ya huruma ya kusaidia wasiojiweza.

15023f14602311e385b512c1cb739830_8
Picha mbalimbali za Prezzo akiwa kwenye kituo cha Upendo Daima Childrens Home cha Mwanza

Wiki hii aliungana na dada zake Hellen na Kivila Matata wa Mwanza kwenda kutoa misaada kwenye kituo cha kulelea watoto yatima cha Upendo Daima Childrens Home.

cd01c95a609f11e39a5a12a62c3665ab_8

Rapper huyo wa Kenya ameshare picha zinazomuonesha akikabidhi misaada mbalimbali kwenye kituo hicho na katika picha moja wapo aliandika: Fruitful day it was at #UpendoDaimaChildrensHome with my #MaLilSistaz @kaykivila @hellenmatata @rajaray254 @swai smith #rock city.”

Baada ya kurejea Kenye, aliandika: Back from Mwanza & it’s business as usual phne been off the hook. Thank God the day is over, about to turn up 4 the long weekend #HeavyIsTheHead #CrownHolder #Rapcellency.”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents