Habari
Picha: Rais Magufuli alivyowasili Dar kutoka Zanzibar
October 15, 2017 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli alirejea Jijini Dar es Salaam kutokea visiwani Zanzibar ambapo alikuwepo kwa ajili ya kufunga mbio za Mwenge.
Picha zote na IKULU